Umwagiliaji unakuwezesha kuvuna zaidi ya mara moja kwa mwaka. Tunabuni mfumo unaolingana na shamba lako na zao lako, kuanzia chanzo cha maji (kisima au bwawa), pampu ya solar au ya umeme, hadi mabomba ya kusambaza maji shambani.
Hatua za kazi
- Kutembelea shamba na kujua zao
- Kubuni mfumo wa umwagiliaji
- Kufunga pampu na mabomba
- Kujaribu na kukufundisha matumizi
Tuko tayari
Unahitaji kisima cha maji?
Tuambie ulipo na unachohitaji. Tutakupigia na kukupa makadirio ya gharama.



