Mnara wa chuma wa matenki na paneli za solar
Kisima kipya kikitoa maji kwa nguvu
Upimaji wa wingi wa maji (pump test)
Mnara wa matenki mawili
Kichwa cha kisima baada ya kukamilika
Bwawa la zege la kuhifadhi maji
Kisima chenye pampu ya mkono na slab
Kisima kikitoa maji baada ya kuchimbwa
Submersible pump tayari kufungwa
Mashine ya kuchimba visima ikiwa eneo la kazi
Compressor ya mashine ya kuchimba
Mnara wa matenki ya maji nyumbani
Mabomba ya casing tayari kwa kisima
Eneo la kazi la uchimbaji
Utafiti wa maji ardhini, Dodoma
Rig ya kuchimba visima virefu
Rig ya kuchimba visima kwenye lori
Rig ya kuchimba visima ya ukubwa wa kati
Kifaa cha kisasa cha utafiti wa maji ardhini
Utafiti wa maji hadi kina kirefu
Kifaa cha kutambua vyanzo vya maji
Pampu ya mkono kisimani: kazi zetu za awali
Pampu ya mkono tunayofunga visimani
Mifano ya minara ya matenki tunayojenga
Kuhifadhi maji ya mvua kwenye mapipa
Maji ni uhai: maji safi na salama
Tuko tayari
Unahitaji kisima cha maji?
Tuambie ulipo na unachohitaji. Tutakupigia na kukupa makadirio ya gharama.