Maji yanayoonekana safi yanaweza kuwa na chumvi nyingi, madini au vijidudu visivyoonekana kwa macho. Tunachukua sampuli kwa njia sahihi na kuzipeleka maabara kupima viwango vya kemikali na vijidudu, kisha tunakueleza matokeo na hatua za kuchukua inapohitajika.
Hatua za kazi
- Kuchukua sampuli kwa njia sahihi
- Vipimo vya maabara (kemikali na vijidudu)
- Kueleza matokeo
- Ushauri wa kusafisha maji inapohitajika
Kazi za huduma hii
Tuko tayari
Unahitaji kisima cha maji?
Tuambie ulipo na unachohitaji. Tutakupigia na kukupa makadirio ya gharama.



