Huduma /

Uchimbaji wa Visima vya Maji

Tunachimba visima virefu vya maji kwa mashine kubwa za kisasa, kwa nyumba, mashamba, shule, taasisi na jamii.

Kisima kizuri ni zaidi ya shimo refu. Tunachimba kwa mashine kubwa zinazoweza kupenya hata miamba migumu, kisha tunajenga kisima kwa casing na screen bora ili maji yabaki safi na kisima kidumu miaka mingi.

Kina cha kisima huamuliwa na utafiti wa maji ardhini uliofanyika kabla, na hali halisi tunayoikuta wakati wa kuchimba.

Hatua za kazi

  1. Utafiti wa maji ardhini na kuchagua sehemu ya kuchimba
  2. Kuchimba kwa rig hadi kufikia tabaka la maji
  3. Kuweka casing, screen na gravel pack
  4. Kusafisha kisima (development / flushing)
  5. Kukabidhi kisima pamoja na ripoti
  6. Pump Test: Kupima Wingi wa Maji
Hatua ya mwisho Upimaji wa Wingi wa Maji (Pump Test) Tunapima kisima kinatoa maji kiasi gani kwa saa, ili kuchagua pampu sahihi bila kukausha kisima. Soma zaidi

Omba Huduma

Tuko tayari

Unahitaji kisima cha maji?

Tuambie ulipo na unachohitaji. Tutakupigia na kukupa makadirio ya gharama.