Huduma /

Ukarabati wa Visima

Kisima chako kimepungua maji au kimeharibika? Tunakisafisha, kukitengeneza na kukirudisha kazini.

Visima vingi huacha kutoa maji kwa sababu ya tope, mchanga, pampu iliyoharibika au casing iliyoziba, si kwa sababu maji yamekwisha. Tunachunguza chanzo cha tatizo, tunasafisha kisima, tunabadilisha vifaa vilivyoharibika, na kujenga upya slab ya juu inapohitajika.

Hatua za kazi

  1. Kuchunguza tatizo
  2. Kutoa pampu na kusafisha kisima
  3. Kurekebisha au kubadilisha vifaa
  4. Kupima wingi wa maji upya
  5. Kurudisha kisima kazini

Omba Huduma

Tuko tayari

Unahitaji kisima cha maji?

Tuambie ulipo na unachohitaji. Tutakupigia na kukupa makadirio ya gharama.